• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Dunia, Croatia: Mchezaji arudishwa nyumbani kwa utovu wa nidhamu na dharau

    (GMT+08:00) 2018-06-19 09:35:27

    Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Croatia, Zlatko Dalic amemrejesha nyumbani mshambuliaji wa timu hiyo Nikola Kalinic kwa kile alichodai ni dharau na utovu wa nidhamu.

    Kalinic aligoma kuingia uwanjani akitokea benchi zikiwa zimesalia dakika mpira kumalizika kwenye mechi dhidi Nigeria kwa kisingizio kuwa yu mgonjwa na vipimo vya kitabibu vikithibisha kuwa si mkweli.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako