• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RwandAir yatarajiwa kukondisha ndege tatu

    (GMT+08:00) 2018-06-19 18:35:41

    Shirika la ndege la Rwanda RwandAir linatarajiwa kusaini makubaliano ya kukondisha ndege tatu kwa dola milioni 300 ili kusaidia mpango wake wa kupenya zaidi barani Afrika Ulaya, Marekani na bara Asia.

    Tayari Rwanda imemwandikia mkurungezi wa shirika la fedha duniani IMF Christine Lagarde, kuomba kuongeza uwezo wake wa deni ili kuliwezesha kupata fedha hizo za kukondisha ndege.

    Waziri wa fedha na mipango wa Rwanda Uzziel Ndagijimana amesema wanatarajia kupata ndege hizo tatu baadaye mwaka huu.

    Fedha linazopewa shirika hilo na serikali zimepungua kutoka dola milioni 56 mwaka 2015 hadi dola milioni 47 mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako