• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya watu waliolazimika kukimbia makazi yao duniani yafikia kiwango cha juu kwenye historia

    (GMT+08:00) 2018-06-20 08:31:19

    Ripoti mpya iliyotolewa jana na Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR imesema, vita na mabavu ya aina nyingine vimefanya idadi ya watu waliokimbia makazi yao kote duniani ifikie kiwango cha juu katika historia. Ripoti inasema hadi kufikia mwishoni mwa mwaka jana, idadi ya watu waliokimbia makazi yao duniani ilifikia milioni 68.5, na idadi ya watu waliokimbilia nchi za nje ilifikia milioni 25.4.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako