• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Syria yalaumu vikali majeshi ya Marekani na Uturuki kuingia mjini Manbij

    (GMT+08:00) 2018-06-20 18:29:17

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imeyalaumu majeshi ya Marekani na Uturuki kwa kuingia mjini Manbij, kaskazini mwa nchi hiyo, na kusisitiza kuwa serikali ya Syria ina nia ya kukomboa ardhi yote.

    Taarifa iliyotolewa na Wizara hiyo imesema, uwepo wa majeshi ya Marekani na Uturuki mjini Manbij ni uvamizi wa mamlaka ya Syria, na lengo lao ni kuongeza mgogoro wa Syria na kuufanya kuwa mgumu zaidi.

    Aidha serikali ya Syria inahimiza jumuiya ya kimataifa kulaani vitendo vya Marekani na Uturuki kwenda kinyume cha kanuni za sheria za mkataba wa Umoja wa Mataifa kwa wazi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako