• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwekezaji wa Israel kujenga nyumba 10,000 Rwanda

    (GMT+08:00) 2018-06-20 19:15:49

    Halmashauri ya maendeleo nchini humo (RDB) imesaini makubaliano ya ujenzi wa nyumba hizo na kampuni ya Mitrelli Group ambayo hujihusisha na utekelezaji wa miradi mikubwa.

    Mwanzilishi wa kampuni hiyo Haim Taib, amepongeza RDB na serikali ya Rwanda na pia kueleza utayari wake wa kushirikana nao.

    Naye mkurungezi wa RDB Clare Akamanzi, amesema uwekezji huo unafanyika wakati mahitaji ya nyumba nchini humo yakiongezeka.

    Utafiti wa mwaka 2012 uliofanywa na shirika la Planet unaonyesha kwamba mahitaji ya nyumba kwa wakazi wapya ni 31,279 na mahitaji yanatarajiwa kufikia nyumba 340,000 ifikapo mwaka 2022.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako