• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ureno yaitandika Morocco, Ronaldo afikisha magoli manne.

  (GMT+08:00) 2018-06-21 08:33:50

  Bao pekee la Christian Ronaldo alilofunga usiku wa jana wakati Ureno ikiumana na Morocco toka Afrika linamfanya kufikisha magoli manne katika michuano ya kombe la dunia inayoendelea nchini Urusi.

  Mechi nyingine ilipigwa kati ya Uruguay na Saudi Arabia, kwa mara ya kwanza katika historia ya kombe la dunia, timu ya taifa ya Uruguay imefanikiwa kishinda michezo miwili ya mwanzo katika kombe hili, goli la Luis Suarez kunako dakika ya 23 lilitosha kuirudisha Saudi Arabia nyumbani. Uruguay ilipata ushindi wa 1-0 dhidi ya Saudi Arabia na kufanikiwa kutinga 16 bora .

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako