• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michuano Kanda ya tano Mpira wa KikapuU18 kuitia nanga kesho

    (GMT+08:00) 2018-06-21 08:35:36
    Michuano ya kanda ya tano ya mpira wa kikapu kwa vijana chini ya miaka 18 inatarajiwa kumalizika kesho jijini Dar es Salaam kwenye uwanja wa ndani wa taifa na kushirikisha mataifa 12 toka Afrika.

    Akizungumzia michuano hiyo, rais wa shirikisho la mpira wa kikapu Tanzania Fares Magesa amesema changamoto za kiuchumi zimesababisha timu nyingi kushindwa kushiriki.

    mashindano ya vijana husaidia kukuza mpira wa kikapu katika kanda ya tano inayojumuisha mataifa 12, yakiwemo Misri, Ethiopia, Burundi na DRC ambazo hazijaleta wanamichezo wake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako