• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Visa yamtea mwakilishi mpya Rwanda

    (GMT+08:00) 2018-06-21 18:54:15

    Kampuni ya teknolojia ya malipo Visa imemteua Salma Ingabire kama mwakilishi wake wa Rwanda akichukua mahali pa Lucy Mbabazi aliyekuwa anashika wadhifa huo kuwakilisha visa nchini Rwanda, Burundi na Malawi.

    Awali Ingabire alikuwa mkuu wa operesheni wa kampuni yA AC Group inayohusika na ulipaji wa kidijitali wa nauli za usafiri wa umma.

    Pia aliwahi kuhudumu kama mkuu wa mawasiliano katika kampuni ya Airtel kwa miaka miwili na hadi sasa ana uzoefu wa miaka sita kwenye sekta ya benki .

    Kwa sasa anaendele na masomo ya uzamifu katika usimamiz wa biashara kwenye chuo cha Oxford Brookes cha Uingereza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako