• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China itajibu vikali kama Marekani itatangaza orodha ya bidhaa za China zitakazotozwa ushuru wa forodha

    (GMT+08:00) 2018-06-22 10:25:06

    Msemaji wa Wizara ya biashara ya China Bw. Gao Feng akizungumzia taarifa iliyotolewa tarehe 18 na Ikulu ya Marekani amesema, endapo Marekani itatangaza orodha ya bidhaa za China zitakazotozwa ushuru wa forodha, na kuchukua hatua zinazovuruga biashara ya kimataifa na kusababisha kutokuwepo kwa usawa wa biashara, China imejiandaa kujibu vikali, na kuchukua hatua madhubuti, ili kulinda kithabiti maslahi ya nchi na watu wa China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako