• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa tatu wa baraza la kudumu la bunge la umma la China wafungwa

    (GMT+08:00) 2018-06-23 17:55:47

    Mkutano wa tatu wa baraza la kudumu la bunge la umma la China umefungwa jana baada ya kumaliza ajenda yake.

    Spika wa bunge hilo Bw. Li Zhanshu amesema mkutano huo umesikiliza na kujadili ripoti za bajeti na uchunguzi wa mahesabu, na kuamua kuendelea kukuza mageuzi ya mfumo wa ushuru, kuharakisha marekebisho ya sheria ya bajeti, na kukamilisha utaratibu wa sera za mfumo katika sekta mbalimbali.

    Bw. Li pia amesema tangu kufanyika kwa mkutano wa 18 wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, China imepiga hatua kubwa katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya sayansi na teknolojia, na baadaye China itahimiza kukamilisha zaidi mifumo mbalimbali katika sekta ya sayansi na teknolojia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako