• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bw. Erdogan ashinda katika uchaguzi wa rais wa Uturuki

  (GMT+08:00) 2018-06-25 10:18:35

  Habari kutoka Shirika la Habari la Anadolu la Uturuki zimesema matokeo ya awali yanaonyesha kuwa rais wa sasa wa Uturuki Bw. Recep Tayyip Erdogan ameshinda kwenye uchaguzi wa rais.

  Matokeo ya asilimia 97.2 ya kura zilizohesabiwa yanaonesha kuwa rais Erdogan ameshinda uchaguzi huo kwa kupata asilimia 52.6 ya kura.

  Baada ya uchaguzi huo, Uturuki itaongozwa na mfumo wa rais badala ya mfumo wa bunge.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako