Serikali ya India imepinga marufuku uagizaji wa ndengu, au pojo kwa sababu wakulima wake walikuwa na mavuno makubwa, jambo ambalo tayari limeuuwa ndoto za mamilioni ya wakulima wa kenya.
Kwa miaka mingi, ndengu ya Kenya imekuwa ikiuzwa katika masoko ya Asia, na wakulima walipata sh 80 kwa kilo. Lakini Msimu huu, bei zimeshuka chini hadi Sh40 kwa kilo.
Kwa mara ya kwanza wakulima wa ukambani, wamezalisha mavuno ya mbegu isiyo na soko.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |