• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • EAC: Mauzo ya EAC Ulaya yaongezeka

    (GMT+08:00) 2018-06-26 19:33:41

    Thamani ya mauzo za bidhaa za Afrika Mashariki kwenye soko la Umoja wa Ulaya imepanda hadi dola bilioni 2.5 mwaka 2017 likiwa ni ongezeko la asilimia 8.

    Kituo kikuu cha kimataifa cha biashara kimesema ITC kimesema mwaka 2016 Afrika Mashariki iliuza bidhaa za dola bilioni 2.3.

    Hata hivyo ITC imesema mauzo hayo yangekuwa juu ikiwa jumuiya ya Afrika Mahariki ingekuwa na sera za pamoja za kibiashara.

    Mkurungezi wa sekta za uzalishaji kwenye jumuiya ya Afrika Mashariki Jean Baptiste, amesema kanda hiyo inahitaji kuwianisha sera zake na mahitaji ya soko la Umoja wa Ulaya.

    Jean Baptiste,ameyasema hayo wakati wa mkutano wa wafanyabiashara wanawake wa Afrika Mashariki mjini Arusha Tanzania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako