• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Tanzania yaongoza kwa wingi wa watalii Afrika

    (GMT+08:00) 2018-06-26 19:36:06

    Tanzana imeibuka kuwa nchi bora zaidi barani Afrika kwa utalii.

    Utafiti uliofanywa hivi karibuni ulioandaliwa na 'Safari Bookings' unaonyesha kuwa bBado, Tanzania inaendelea kupendelewa na watalii wa kigeni.

    Tanzania inachukua nafasi ya kwanza, ikifuatiwa na Botswana, Zambia na hatimaye Kenya katika nafasi ya nne.

    Tanzania inalenga kukaribisha hadi watalii milioni 2 kufikia mwaka wa 2020, na kwa sasa inapokea watalii milioni 1.4 asilimia 80 wakitembelea eneo la mzunguko wa Eneo la kaskazini kama vile hifadhi ya Serengeti, Ngorongoro na Mlima Kilimanjaro.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako