• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kongamano la kwanza la ulinzi na usalama kati ya China na Afrika lafanyika Beijing

    (GMT+08:00) 2018-06-26 20:18:16

    Kongamano la kwanza la ulinzi na usalama kati ya China na Afrika limefanyika leo hapa Beijing, na kuhudhuriwa na wajumbe wa jeshi la China pamoja na wajumbe kutoka nchi 50 za Afrika.

    Mkurugenzi wa ofisi ya ushirikiano wa kimataifa wa kijeshi ya kamati kuu ya kijeshi ya China Bw. Hu Changming amehutubia kongamano hilo na kusema, China itaongeza nguvu za ushirikiano wa ulinzi na usalama kati yake na Afrika, na kuinua kiwango cha ushirikiano huo.

    Kauli mbiu ya kongamano hilo wa wiki mbili ni "Kushirikiana na kusaidiana", na litajadili suala la usalama wa kikanda, ujenzi wa uwezo wa usalama wa Afrika, na ushirikiano wa ulinzi na usalama kati ya China na Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako