• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:UN kutoa shilingi bilioni 190 za miradi ya jamii Kenya

    (GMT+08:00) 2018-06-27 19:40:59

    Wizara ya fedha nchini itapewa shilingi bilioni 190 za miradi ya maendeleo ya jamii katika mda wa miaka 4 ijayo.

    Wiki hii serikali ya Kenya imekubaliana tena na shirika la UN idara ya maendeleo ,benki ya dunia na shirika la kimtaifa la fedha kuendeleza harakati miradi ya kuinua uchumi na malengo ya 2030.

    Benki ya dunia imetoa bilioni 20 za kukabiliana na mikosi ama dharura fedha zilizotiwa sahihi na waziri Nehry Rotich.

    Miradi mikuu itakayowekewa fedha hizi ni afya,ugatuzi,teknolojia ,majanga,ukame na mafuriko.

    Fauka ya hayo serikali ya Kenya pia imepokea shilingi bilioni 3.4 kupambana na dharura .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako