• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Waganda kupokea asilimia 40 ya mapato ya mafuta na gesi

    (GMT+08:00) 2018-06-27 19:56:33

    Takribana asilimia 4 kati ya 10 ya mikataba ya mafuta na gesi zitapewa wananchi wa Uganda imesema serikali ya nchi hiyo.

    Kikao cha mawaziri nchini humo kimeafikiana kuhusu uamuzi huo kwa lengo la kuinua ujuzi wa watu na kubadilisha maisha ya watu.

    Sheria ya mafuta ya ndani ya nchi imezitaka sekta za viwanda zilizopewa kandarasi za mafuta kuanza kufunza raia wa Uganda kuhusiana na uzalishaji mafuta.

    Mkurugenzi wa mawasiliano nchini humo Ofwono Opondo amesema hakuna kampuni ya kutoka nje itakayopewa kazi zinazoweza kufanywa na wanakandarasi wa Uganda bila kutoa asilimia 40 ya ajira .

    Mbali na hayo,benki ya maendeleo ya Afrika imetoa shilingi bilioni 292 za za miradi ya mchele katika maeneo ya mashariki na kaskazini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako