• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Idadi ya watu waliofariki katika ajali ya moto iliyotokea kwenye soko kubwa nchini Kenya yaongezeka

  (GMT+08:00) 2018-06-28 19:46:21

  Idadi ya watu waliofariki katika ajali ya moto iliyotokea jana na kuteketeza soko kubwa la wazi la Gikomba jijini Nairobi imefikia 15 na watu wengine zaidi ya 70 wamelazwa hospitali kutokana na majeraha.

  Mratibu wa jiji la Nairobi Kangethe Thuku amesema, miili tisa iligunduliwa ndani ya jengo moja la makazi ya watu katika soko hilo bado haijatolewa na miili sita imepelekwa nyumba ya kuhifadhi maiti.

  Inaaminika kuwa, chanzo cha moto huo ni ushindani wa kibiashara.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako