• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Malkia Elizabeth wa Uingereza asaini sheria ya Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya

  (GMT+08:00) 2018-06-28 20:46:00

  Sehemu ya kwanza muhimu ya kutengeneza njia ya Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya EU imekuwa sheria jumanne wiki hii baada ya kupata kibali cha Malkia Elizabeth wa nchi hiyo.

  Mkurugenzi anayeshughulikia Uingereza kujitoa kwenye EU David Davis amepongeza hatua hiyo, na kusema inaashiria hatua nyingine muhimu katika kuhakikisha kuwa Uingereza iko tayari kwa maisha baada ya kujitoa EU mwezi Machi mwaka ujao. Amesema hatua hiyo ni ishara kubwa kwa Uingereza kujiandaa kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako