• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Volkwagen ya kwanza iliyotengenezwa Rwanda yaingia sokoni

    (GMT+08:00) 2018-06-28 21:05:01
    Gari la kwanza la Volkswagen lililotengenezwa nchini Rwanda limeingia rasmi sokoni wiki hii.

    Rais Paul Kagame amesema gari hilo limedhihirisha bayana kwamba bara la Afrika linaelekea kusitisha kabisa utumiaji wa magari ya mitumba .

    Biashara hiyo sasa inaifungulia Rwanda jukwaa lipya la ajira na fursa ya mapinduzi ya uchumi nchini humo.

    Rwanda imewekeza dola milioni 20 kwa kutenegeneza units elfu 1 hadi 5 za magari kuingia katika soko la kimataifa.

    Magari ya mitumba yamedaiwa kufilisisha wateja pamoja na kuchafua mazingira

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako