• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia:Ethiopia kuanza jaribio la kuchimba mafuta

    (GMT+08:00) 2018-06-28 21:05:55
    Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesema Ethiopia itaanza jaribio la kuchimba mafuta tarehe 29 mwezi huu wa June.

    Waziri Ahmed ametangaza haya katika mkutano wa wataalamu wa mafuta.

    Kampuni iliyopewa zabuni ya uchimbaji imesema itajaribu kuchimba mapipa 450 ya mafuta kila siku kabla ya kuanza uchimbaji wa madini ya gesi mwezi ujao.

    Ethiopia itapata dola bilioni 8 kila mwaka itakapoanza kuuza gesi yake kwa nchi za nje .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako