• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Xi Jinping asisitiza kushikilia ujenzi wa siasa wa Chama cha Kikomunisti cha China

    (GMT+08:00) 2018-06-30 17:07:44

    Katibu mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Xi Jinping jana alipoendesha semina elekezi ya Ofisi ya siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, amesisitiza kushikilia ujenzi wa siasa wa Chama.

    Xi Jinping amesema, ni lazima kushikilia mwelekeo sahihi wa siasa, kushikilia uongozi wa Chama, kuimarisha msingi wa siasa, kuboresha mazingira ya siasa, kuepusha hatari ya siasa, kuongeza uwezo wa siasa, ili kuhakikisha Chama cha Kikomunisti cha China kinapata ushindi bila kusita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako