• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wakulima wa pamba waomba mapato mazuri

    (GMT+08:00) 2018-07-02 19:44:54

    Bei ya pamba imeongezeka kwa kiasi kidogo katika eneo la mlima Kenya Mashariki.

    Kilo inauzwa kwa Sh46 kutoka Sh40 mwaka jana.

    wakulima wamesema mapato yanatoa faida zaidi kuliko miaka mitano iliyopita wakati kilo iliuzwa Sh25.

    Wakulima wameiomba Serikali kuwasaidia kuunda vyama vya ushirika vinavyowapa mikopo, pembejeo za ruzuku na mafunzo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako