• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Uchunguzi wapata wafanyakazi hewa Uganda

    (GMT+08:00) 2018-07-03 19:57:34

    Uchunguzi katika wilaya ya Manafwa nchini Uganda umeonyesha wafanyakazi hewa 104 ambao wanapokea mshahara.

    Kamishena wa wilaya hiyo Ssenyonjo Kyeyune, amesema wafanyakazi hao hewa wamekuwa wakipokea mshahara kwa muda usiojulikana.

    Kulingana na ripoti iliotolewa baada ya uchunguzi huo, wafanyakazi 13 walikuwa wamestaafu, 71 wameaga dunia na wengine 18 hawajulikani ilhali wanapokea mishahara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako