• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Uganda yatakiwa kukuza utamaduni kuvutia watalii

    (GMT+08:00) 2018-07-03 19:58:27

    Kabaka Ronald Muwenda Mutebi nchini Uganda ameitaka serikali kufanya utafiti zaidi na kujumuisha utamaduni kama njia moja ya kuvutia watalii.

    Akiongea kwenye maonyesho ya utalii ya Buganda eneo la Lubiri, Kabaka alisema utamaduni wa Uganda unaweza kutumiwa kuvutia watalii zaidi badala ya kutegemea tu wanyama pori.

    Kwenye maonyesho hayo Kabaka alitembelea vibanda vya kilimo na wasanii wanaofuga wanyamapori kama vile nyoka.

    Adha Kabaka alizidua ramani mpya ambayo inaonyesha kaunti zote 18 za ufalme wa jadi wa Uganda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako