• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa 31 wa viongozi wa Umoja wa Afrika wafungwa Mauritania

    (GMT+08:00) 2018-07-03 20:34:23

    Mkutano wa 31 wa viongozi wa Umoja wa Afrika (AU) umefungwa huko Nouakchott, mji mkuu wa Mauritania.

    Akizungumza baada ya mkutano huo, mwenyekiti wa kamati ya Umoja wa Afrika Bw. Moussa Faki Mahamat amesema, Umoja huo unapaswa kuweka mkazo katika kupamabana na utoroshaji fedha nje, kwenye juhudi zake za kukomesha ufisadi. Anaona kuwa mapambano dhidi ya ufisadi kwanza yanahitaji kuongeza mwamko wa watu kuhusu mapambano hayo, na kuweka hatua madhubuti.

    Waziri wa mambo ya nje wa Djibouti Bw. Yousef Al-Mahmoud, amesema, mkutano huo ulisisitiza nchi za Afrika si kama tu zinapaswa kupambana na ufisadi ndani ya nchi zao, bali pia zinapaswa kushirikiana na kukabiliana na tatizo hilo kwa pamoja. Pia amesema washiriki wa mkutano huo wamefikia makubaliano ya kuanzisha utaratibu maalum wa kufuatilia mapambano ya ufisadi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako