• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Klabu ya RRA yaanza maandalizi

    (GMT+08:00) 2018-07-05 09:21:50
    Klabu ya mpira wa wavu wanawake ya RRA ya nchini Rwanda imeanza maandalizi kwa ajili ya kutetea ubingwa wa michuano ya Carres De As itakayofanyika mjini Kigali kuanzia Julai 14 hadi Julai 15 mwaka huu.

    Kwa mujibu wa kocha msaidizi wa RRA Jean de Dieu Masumbuko michuano hiyo itatumika kama maandalizi kwa ajili ya michuano mikubwa ya Afrika ya mwaka 2019.

    Katika hatua nyingine, RRA imefanikiwa kushinda ubingwa wa Rwanda kwa kuwafunga wapinazni wao wa kihistoria APR mwezi uliopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako