• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Pweza aliyeitabiria Japan kufungwa ageuzwa msosi

    (GMT+08:00) 2018-07-05 09:23:27

    Wakati michuano ya Kombe la Dunia ikiendelea nchini Urusi, pweza aliyekuwa anaaminika katika kubashiri matokeo ya mechi kadhaa zilizopita zikiwemo za timu ya taifa ya Japan, amegeuzwa kiteweo.

    Pweza huyo aliyekuwa akifahamika kwa jina la Rabio amejizolea umaarufu mkubwa kwenye michuano hii kutokana na umahiri wake katika kubashiri mshindi wa mechi husika.

    Mmiliki wa pweza huyo ambaye ni mvuvi anayetambulika kwa jina la Lakini Kimio Abe amesema kuwa ameamua kumuuza na kugeuzwa kitoweo kwa kuwa amebaini atajizolea kitita kikubwa cha fedha kuliko kama angeendelea na utabiri ambao haujamnufaisha licha ya kupatia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako