• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mtalii mmoja wa China afariki, wengine 49 kupotea baada ya boti kupinduka Thailand

    (GMT+08:00) 2018-07-06 11:05:18

    Mtalii mmoja kutoka China amethibitishwa kufariki na wengine 49 hawajulikani walipo baada ya boti mbili walizokuwa wakisafiria kupinduka jana alasiri, wakiwa njiani kuelekea kisiwa cha Phuket nchini Thailand, kutokana na kukumbwa na dhoruba kubwa. Taarifa kutoka Thailand inasema boti hizo mbili zilikuwa na abiria 127 kutoka China, 76 kati yao wameokolewa, na mpaka sasa watu 53 wakiwamo wachina 49 bado hawajulikani walipo. Kazi ya uokoaji bado inaendelea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako