• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • EAC kuanzisha utaratibu wa kulinda maduka makubwa

    (GMT+08:00) 2018-07-06 19:12:12

    Jumuiya ya Afrika mashariki injatarajiwa kuanzisha utaratibu wa kusimamia maduka makubwa ili kuzuia kuporomoka kwa maduka hayo kama ilivyokuwa kwa maduka ya Nakumatt.Maofisa wa kuu kutoka Kenya na Tanzania wamekubaliana kusukumwa kuundwa kwa sera ya kikanda na utaratibu w2a Jumuiya ya Afrika mashariki kukabiliana na changamoto zinazokumba sekta hiyo.Haya yalifikiwa mjini Dar es salaam wakati wa mkutano wa kujadili masuala ambayo yanaathiri biashara kati ya nchi hizo mbili.Uhusiano kati ya Kenya na Tanzania umekuwa ni wa kujikokota katika siku za hivi karibuni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako