• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya Bei za umeme kushuka mwezi septemba

    (GMT+08:00) 2018-07-09 20:23:21
    Umeme wa bei nafuu watarajiwa kuanza kutoka mwezi Septemba wakati mtambo mkubwa wa nishati mbadala utakamilika.

    Mtambo wa nishati ya sola, ambayo kukamilika kwake kumebadilishwa kutoka mwezi Desemba hadi Septemba, mtambo huo, utazalisha Megawatts 76,473 ya umeme kwa mwaka, ambayo serikali inasema italeta chini gharama ya umeme kwa senti 5.4 kwa kila kitengo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako