• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • JKU yafuzu nusu fainali, yaishinda Singida United

  (GMT+08:00) 2018-07-10 10:09:18

  JKU ya Zanzibar jana imefuzu nusu fainali ya michuano ya Kombe la Kagame kwa kuishinda Singida United kwa njia ya penati 4-3.

  Kwenye mechi ya nusu fainali itakayopigwa kesho jumatano, JKU itakutana na Simba ambayo iliishinda AS Ports ya Djibouti.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako