• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • IGAD yaipongeza China kwa ujenzi wa eneo la biashara huria nchini Djibouti

  (GMT+08:00) 2018-07-10 19:38:11

  Sekretariet ya Shirika la Maendeleo la Kiserikali la Nchi za Afrika Mashariki (IGAD) imepongeza ujenzi wa eneo la biashara huria nchini Djibouti uliofanywa na kampuni ya China.

  Taarifa ya Shirika hilo imesema huo ni mfano halisi wa mwingiliano wa uchumi wa kikanda ambao nchi wanachama zimekuwa zikishughulikia.

  Akizungumza kwenye uzinduzi wa eneo hilo, Rais Ismael Omar Guelleh wa Djibouti amesema eneo hilo ni sehemu ya matumaini kwa maelfu ya vijana wanaotafuta ajira.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako