• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Uzalishaji wa Chai Kenya waongezeka

  (GMT+08:00) 2018-07-10 19:59:26

  Uzalishaji wa Chai nchini Kenya umeongezeka kwa asilimia 17 katika kipindi cha miezi 5 ya kwanza ya mwaka 2018.

  Taakwimu kutoka kwa halmashauri ya Chai nchini humo zinaonyesha chai iliozalishwa kati ya Januari na mwezi Mei ni kilo milioni 187 ikilinganishwa na kilo milioni 160 kipindi sana na hicho mwaka jana.

  Ongezeko la uzalishaji limechangiwa na kuongezeka kwa mvua lakini pia nayo bei kwa kilo moja imeshuka hadi dola 28 ikilinganishwa na dola 29 mwaka jana.

  Kenya huuza kwa wingi chai yake nchini Misri, Uingereza, Pakistan, Afghanistan, Iran, Sudan, Yemen na Milki za kiarabu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako