• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kombe la Kagame 2018: Mechi mbili za nusu fainali kufanyika leo

  (GMT+08:00) 2018-07-11 10:14:22

  Mechi za Nusu fainali za michuano ya kombe la Kagme zinapigwa leo mjini Dar es Salaam, nchini Tanzania ambapo katika mchezo wa kwanza utakaopigwa saa nane mchana kwa saa za Afrika Mashariki, Azam FC itacheza dhidi ya Gor Mahia.

  Na mchezo wa pili utazikutanisha timu za JKU kutoka Zanzibar na Simba ya Dar es Salaam saa kumi jioni.

  Washindi katika mechi mbili za leo, watakutana kwenye mchezo wa fainali ijumaa Julai 13.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako