• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Usajili wa Wachezaji: Man City yamsajili Mahrez

  (GMT+08:00) 2018-07-11 10:15:20

  Klabu ya Manchester City, imemsajili mchezaji wa kimataifa wa Algeria, Riyad Mahrez kutoka timu ya Leceister City kwa ada ya pauni milioni 60.

  Mchezaji huyo amesaini mkataba wa miaka mitano na atakuwa akilipwa pauni 400,000 kila wiki jambo litakalomfanya kuwa mchezaji anayelipwa pesa nyingi katika klabu hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako