• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Idadi ya vifo kutokana na mvua kubwa Japan yafikia 176

  (GMT+08:00) 2018-07-12 08:47:38

  Katibu mkuu wa Baraza la mawaziri la Japan Bw. Suga Yoshihide amesema mvua kubwa iliyoyakumba maeneo ya magharibi mwa Japan imesababisha vifo vya watu 176. Akitembelea maeneo yaliyokumbwa na maafa, waziri mkuu wa Japan Bw. Shinzo Abe amesema serikali inatambua maafa hayo kuwa "maafa makubwa", na itatoa msaada wa fedha kwa ajili ya ukarabati wa maeneo yaliyoathirika, ili wakazi wa waweze kurejesha maisha ya kawaida. Imefahamika kuwa kutokana na maafa hayo, watu 7,200 wamehamishiwa maeneo salama, na familia laki 2.44 zimekosa maji ya bomba.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako