• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Barclays Afrika yabadilisha jina lake kuwa  Absa

  (GMT+08:00) 2018-07-12 19:09:16
  Benki ya Barclays Afrika imebadilisha jina lake na kuwa Absa huku mgao wa on Barclays wa Uingereza ukiendea kupungua barani Afrika.

  Kubadilishwa kwa jina hilo kunafanyika mwaka mmoja hivi baada ya Barclays kuuza baadhi ya hisa zake zilikokuwa kwenye benki ya Absa ambayo ni ya tatu kwa ukubwa nchini Afrika Kusini.

  Kwa sasa Barclays nchini Afrika Kusini inatumia jina la Absa na baadaye matawi yote ya benki hiyo barani Afrika yatabadili jina.

  Barclays ilinunua asilimia 62 za Absa mwaka 2005, lakini ikapunguza hadi asilimia 15 kwa kuuzia wawekezaji wakubwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako