• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano wa COMESA kufunguliwa wiki ijayo

  (GMT+08:00) 2018-07-12 19:27:31
  Wataalam wa nchi wanachama za soko la pamoja la mashariki na kusini mwa Afrika (COMESA) wankutana mjini Lusaka Zambia mbele ya mkutano wa 20 wa marai wa nchi hizo wiki ijayo.

  Mkutano huo ambao awali ulikuwa ufanyike nchini Burundi utahudhuriwa na nchi 17 kati ya 19 za COMESA.

  Watalaam hao wanajadili miongoni mwa mambo mengine utekelezaji wa mipango ushirikiano wa kikanda.

  Kulingana na Makao makuu ya COMESA maudhui ya mkutano wa mwaka huu ni kuelekea muungano wa kiuchumi wa kidijitali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako