• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Usajili Ulaya: Cuadrado aamua kiroho safi kumuachia Ronaldo namba 7

    (GMT+08:00) 2018-07-13 09:46:03

    Kiungo Mcolombia, Juan Cuadrado amekubali kiroho safi kumuachia jezi yake namba 7 mchezaji mpya wa Juventus, Cristiano Ronaldo. Cuadrado ndiye alikuwa anaitumia jezi hiyo.

    Lakini baada ya kusajiliwa kwa Ronaldo akitokea Real Madrid, amelazimika kumuachia kutokana na umaarufu wa mchezaki huyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako