• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Thamani ya jumla ya uagizaji na uuzaji wa bidhaa nje ya China yafikia RMB yuan trilioni 14

  (GMT+08:00) 2018-07-13 10:57:26
  Msemaji wa Idara kuu ya forodha ya China Bw. Huang Songping amesema, katika nusu ya kwanza ya mwaka huu, thamani ya jumla ya uagizaji na uuzaji wa bidhaa nje ya China ilifikia RMB yuan trilioni 14, hili ni ongezeko la asilimia 7.9.

  Bw. Huang Songping ameeleza kuwa, muundo wa bidhaa zinazoagizwa na kuuzwa nje umekuwa ukiboreshwa nchini China, lakini kutokana na hali isiyo ya utulivu katika mazingira ya kimataifa, uagizaji na uuzaji wa bidhaa nje ya China itakabiliwa na changamoto kadhaa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako