• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Uingereza awahimiza wapinzani wasihujumu mpango wa Brexit

    (GMT+08:00) 2018-07-16 09:13:45

    Waziri mkuu wa Uingereza Bibi Theresa May amechukua hatua kupata uungaji mkono kwa ajili ya kupitisha mpango wake wa Brexit bungeni, wakati uchunguzi wa maoni umeonesha kuwa uungaji mkono kwa chama chake umeshuka kwa kiasi kikubwa katika mwezi uliopita. Akihojiwa na televisheni ya taifa mapema jana, Bibi May amesisitiza kuwa mpango wake ni mzuri kwa Uingereza kushughulikia uhusiano kati yake na Umoja wa Ulaya, pia ametoa mwito kwa wapinzani ndani ya chama chake wanaojaribu kuufanyia marekebisho, wasihujumu mpango wake wa Brexit utakaotimiza walichopigia kura watu wa Uingereza kwenye kura za maoni mwaka 2016.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako