• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mshukiwa wa shambulizi dhidi ya polisi mjini Kansas, Marekani auawa

    (GMT+08:00) 2018-07-16 09:14:24

    Polisi mjini Kansas wamesema mshukiwa aliyewashambulia maofisa watatu wa polisi aliuawa kwa kupigwa risasi jana alasiri. Polisi wamesema kwenye ukurasa wao wa Twitter kwamba mshukiwa huyo aliwafyatulia risasi maofisa watatu wa polisi waliokuwa wanafanya uchunguzi kwenye motel moja, kabla ya kuuawa kwa kupigiwa risasi na polisi. Kwa mujibu wa polisi, mshukiwa huyo alikuwa anafuatiliwa na polisi kwa tuhuma za kujihusisha na mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu cha Missouri-Kansas mapema mwezi huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako