• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ofisa wa UN azitaka Palestina na Israel zisitishe mapambano ya kimabavu

    (GMT+08:00) 2018-07-16 17:13:06

    Mratibu maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mchakato wa amani ya Mashariki ya Kati Bw. Nickolay Mladenov amezitaka Israel na Palestina zijizuie na kusitisha mapambano ya kimabavu.

    Akizungumza mkoani Gaza jana, Bw. Mladenov amesema, wapelestina kwenye sehemu ya Gaza walishuhudia mapigano makubwa ya kijeshi katika miaka 10 iliyopita, na katika kipindi hicho waisrael wanaoishi kwenye sehemu ya Gaza na sehemu ya mipaka pia walikabiliwa na matishio ya mashambulizi ya makombora. Ameitaka Isarel ijizuie na kutowapiga risasi watoto, pia amewataka wapalestina wa sehemu ya Gaza wafanye maandamano kwa njia ya amani, na kutofanya vitendo vya uchokozi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako