• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya Wakulima wa ngano kulia kushuka kwa bei ya zao hilo

    (GMT+08:00) 2018-07-16 19:22:31
    Wakulima wameomba wasagaji ngano kununua zao hilo moja kwa moja kutoka kwao ili kukomesha unyonyaji wa madalali.

    Wanasema hatua hiyo itaimarisha bei.

    Wakulima wamelalamika bei ya madalali imeshuka kutoka Sh2, 500 hadi Sh2, 000 kwa kila mfuko wa 90kg ndani ya wiki mbili.

    Wakulima wamesema wanataka wasagaji angalau Sh3, 500 kwa kila mfuko, amasivyo watapata hasara kubwa.

    Walilalamika kuwa gharama za uzalishaji kwa ekari ziliongezeka kutoka Sh11,000 miaka miwili iliyopita hadi Sh18,000 mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako