• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wadau wa utalii Kenya watarajia ongezeko la watalii kutokana na ziara ya Obama

    (GMT+08:00) 2018-07-17 20:09:28

    Wadau wa sekta ya hoteli na utalii nchini Kenya wamesema wanatarajia kuongezeka kwa watalii kwenye nusu ya pili ya mwaka huu kutokana na ziara aliofanya rais mstaafu wa Marekani Barack Obama.

    Mkurungezi wa hoteli ya Diani Reef Beach Bobby Kamani anasema ziara ya Obama alipokuwa rais ilizaidia kuongeza imani ya watalii kuja nchini Kenya na sasa anaona ziara aliofanya wiki hii itakuwa na athari kama hiyo.

    Pia wanatarajia ongezeko la watalii wakati wa mkutano wa chama cha wana uchumi wa uchukuzi wa majini.

    Mkutano huo wa mwezi Septemba utawaleta pamoja wadau kutoka zaidi ya nchi 40 kujadili maswala ya uchukuzi, uhadisi na ufadhili.

    Wenye Hoteli katika eneo la Diani, wamefanya makubaliano na wasimamizi wa reli ya kisasa ili kutoza malipo maalum kwa watalii wa ndani wanaotembelea pwani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako