• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Uganda yaathiriwa na kushuka kwa bei ya kahawa

    (GMT+08:00) 2018-07-17 20:13:32

    Kahawa ya Uganda imeendela kusalia katika maghala huku bei ya bidhaa hiyo kimataifa ikipungua.

    Sasa wanasubiri kupanda kwa bei ili kurejelea biashara.

    Bei ya kahawa haijapanda kwa kipindi cha wiki tatu za kwanza za mwezi Juali.

    Hadi Ijumaa wiki jana bei kwenye soko la kimataifa ilikuwa ni dola centi 107.26 ikiwa ni chini ya bei ya mwezi Juni.

    Sasa wadau walio na kandarasi na wanunuzi wanalazimika kununua kahawa kwa bei ya chini ili kutimiza matakwa ya kandarasi zao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako