• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara yatoka, Watani wa Jadi Simba na Yanga kukutana Septemba 30.

    (GMT+08:00) 2018-07-19 08:31:24
    Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania (TFF) kupitia kwa Mkurugenzi wa bodi ya ligi hiyo (TPLB) Boniphace Wambura limetangaza ratiba mpya ya ligi kuu Tanzania Bara (VPL) msimu ujao wa 2018/19 itakayoanza Agosti 22 mwaka huu.

    Kupitia mkutano wake na waandishi wa habari jana, Wambura amesema ligi hiyo itahusisha jumla ya mechi 380 kutoka 240 ambazo zilichezwa msimu uliopita kutokana na ongezeko la timu.

    Msimu huu utakuwa na jumla ya timu 20 kutoka timu 16 za msimu uliopita, mecgi yenye msisimko mkubwa ni ya watani wa jadi Simba na Yanga ikitarajiwa kuchezwa Septemba 30 uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako