• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Riadha: Ethiopia yainyang'anya Kenya ubingwa mita 3,000

    (GMT+08:00) 2018-07-19 08:31:43
    Baada ya kushinda medali ya dhahabu katika makala 15 mfululizo katika mbio za wanaume za mita 3,000 kuruka viunzi na maji kwenye riadha za Dunia za U-20, Kenya ilisalimu amri mjini Tampere nchini Finland mwishoni mwa juma lililopita.

    Mwakilishi wa pekee wa Kenya katika fainali ya makala ya 17, Leonard Bett, alichukua nafasi ya pili, huku Ethiopia ikivunja tamaduni hiyo ya Kenya kupitia Takele Nigate.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako