• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maonesho ya filamu za China barani Afrika yazinduliwa Cape Town

    (GMT+08:00) 2018-07-19 10:55:36

    Maonesho ya filamu za China barani Afrika yaliyoandaliwa na Ofisi ya habari ya Baraza la serikali la China na Kituo kikuu cha Radio na Televisheni cha China, yamezinduliwa rasmi mjini Cape Town, Afrika kusini.

    Akihutubia ufunguzi wa maonesho hayo, mwenyekiti wa zamu wa Kamati ya fedha za umma ya Jumuiya ya kiuchumi ya nchi za kusini mwa Afrika SADC Bw. Nthabiseng Khunou, amesema maonesho hayo yatawaburudisha watazamaji wa Afrika kwa filamu za China, na kuwafanya watu wa pande hizo mbili wawe karibu zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako